nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,249
- 1,737
duh master 1 degree 2 bdo huna kazi?asee hivo vyuo bora vifungwe tu had hawa kwanz wapate kazi..
Nimecheka sana *****[emoji23]Kuwala mabinti wazuri wenye mapaja meupeeeeeeeee
Udom chuo cha figisu figisu.
Wanaita watu kweny interview lakini wana watu wao tayari.
Wanaweza wakaitangaz kazi hata mara tano.
Na mkaitwa mara zote ila no kuajiriwa.
Sijui wanafanya siasa ili iweje
Kama hamuamini muulizeni hio kazi anayoifukuzia imetangazwa wapi?
Hapo akishakula hio kaz ndio watazitangaza kwenye website yao.
Wadau wengi hapa walidhani nimetunga.Nimekumbuka UDOM walichonifanyia kwenye application tena tutorial assistant,nina sifa zote lakini hata kwenye shortlist simo,then naona mtu mmoja amewekwa shortlist nafasi zaidi ya moja,nikasikitika sana;
Nikaaply kwingine nikapata,UDOM&UDSM badilikeni kwenye mambo ya interview,maana hawa wakufunzi ndio wanaandaa nguvu kazi ya Taifa;
Daaaah kwa kiingereza changu cha kujibia mitihani tuuu naomba niiruke hiyo comment nisije nikaongeza stress ukiacha na hizi za kitaa kugumuNimependa mawazo yako, umenikumbusha kitabu cha Political Economist wa enzi hizo Adam Smith, juzi tu nilikuwa nasoma kitabu chake cha #An Inquiry Into the Nature and causes of the Wealth Of Nations amezungumzia division of labor kwa mapana sana japo aliniacha hoi sana kuna mahai nilisoma anasema kipindi hicho cha miaka ya mwanzo ya mapinduzi ya viwanda huko ulaya masikini wa ulaya walikuwa na maisha mazuri zaidi hata ya wafalme wa Africa. Msome hapa ukarasa wa 24, “.....and yet it may be true, perhaps, that the accommodation of an Euro- pean prince does not always so much exceed that of an industrious and frugal peasant, as the accommodation of the latter exceeds that of many an African king, the absolute master of the lives and liberties of ten thousand naked savages”......
Sio kweliUmepewa nyama unaomba na kisu....marupurupu wanafunzi wapenda kitonga utawauzia A na B+..wengine utawala hasa wa kike