Mkuu kwanza hongera kwa kuwa na masters na degree 2, la msingi ukifanikiwa kupata kazi onesha ufanisi, hata kama mshahara hautaridhika nao mwanzoni. Unaweza kupandishwa kadri utakavyozidi kuonesha uhitaji wako UDOM.
Mkuu kwanza hongera kwa kuwa na masters na degree 2, la msingi ukifanikiwa kupata kazi onesha ufanisi, hata kama mshahara hautaridhika nao mwanzoni. Unaweza kupandishwa kadri utakavyozidi kuonesha uhitaji wako UDOM.
Duh? Kumbe kwa wahindi kuna nafu. Ingawa unaweza timuliwa muda wowote. Watumishi kumbe mbwembwe tu na wizi Mishahara kiduchu.
Ulichozungumza ni kile ambacho umesiki ama unadhania ila huna uhakika kwa kuwa maelezo yako yanonyesha dhahiri kwamba wewe sio mmoja wao. Neno "mara kadhaa" pia ni tosha kuonesha pasi na shaka kwamba huna Uhakika na ulisemalo. Uchangiaji wenye tija ni ule unaotoa mwangaza/uelekeo, wenye kusaidia mhitaji kuchukua uamuzi Sahihi ama ni ule ambao una "FACTS".kwa wenye taaluma za kihasibu huo mshahara wa kawaida sana.. kuna madogo kwenye mabank, makampuni ya simu, mafuta, auditing firms, wanakula mara kazaa ya huo wengi sana mjini hapa..
Hii nchi kuna watu hawajui maana ya specialisation na division of labour, hatuwezi wote kufuga kuku au wote kuwa wahadhiri..usilazimishe kila mtu awe fani yako na usidhani kama elimu ya darsani hukuiweza basi kila mtu awe mjasiriamali kama wewe.
Tulia na kila unachoweza, inawezekana wewe kununua kitabu cha physics Nelkon elfu 29,000 uliona nyingi, at the same time mwingine anasomesha mtoto wa sec kwa milioni 5 ayear..its ok.
Kaa ukijua tuko watu wa aina mbalimbali..
-Anaweza kua academician/professional na akawa mjasiriamali
-Anaweze kua prodessional tu
-Anaweza kua mjasiriamali tu
Kupanga ni kuchagua na obey your thirsty to live your gadem life...
Naona jinsi unavyojitahidi kuelimisha matusi mkuu, ungetoa hizo criteria za mtu kupandishwa ungeeleweka zaidi, hebu tupe hizo critetia tuone jinsi ulivyocompitent mkuuNaona kinyesi tu hapa.
Unajua criteria za mtu kupanda cheo kwenye Public Universities????
Kupanda cheo kutoka Assistant Lecturer lazima jamaa asome na amalize PhD.
Hakuna shortcut, sijui juhudi ya kazi.
Naona jinsi unavyojitahidi kuelimisha matusi mkuu, ungetoa hizo criteria za mtu kupandishwa ungeeleweka zaidi, hebu tupe hizo critetia tuone jinsi ulivyocompitent mkuu
Na nyinyi mmetuchosha na mambo yenu ya kuku. Kwani kila mtu mpaka afuge kuku. Bado unaweza kufanya ukafanya kazi na kufanya mambo mengine ata zaidi ya moja. Open up your mind. Kusoma ni kitu kimoja na hayo mambo ya kuku et al ni jambo jingine.Yaani pesa za hayo madegree ungefuga kuku saivi ingekuwa unatembelea range rover velar
Watu wamekariri kila mmoja alime tikiti ruvu..afuge kuku au auze mbao...sio lazima! Just thamini kile mwenzio anachofanya na kua na amani na chako..Hao hao ndio badae wanaongea kuwa "watumishi wao wana mishahara mizuri na wanapiga pesa" kama vipu...acha kufuga ukaombe ajira kama vipi.Na nyinyi mmetuchosha na mambo yenu ya kuku. Kwani kila mtu mpaka afuge kuku. Bado unaweza kufanya ukafanya kazi na kufanya mambo mengine ata zaidi ya moja. Open up your mind. Kusoma ni kitu kimoja na hayo mambo ya kuku et al ni jambo jingine.
Kiduchu sana...PeanutsDuuh...huo ni mshahara kidogo..??
Kuwala mabinti wazuri wenye mapaja meupeeeeeeeeenaomba kujua kuhusu marupurupu ninayoweza kupata
Ana kauli za shombo sana huyu pimbi huyu ,Mkuu okoa muda, achana na huyo mtu.... kwa jinsi alivyoandika comment yake tuu... anaonekana hajapita hata shule ya kata, lakin matusi kibaaao na mikogo isiyokuwa na maana...mara CCNP ENGINEER... waliopita darasan hawanaga fujo kama za kijana hapo... tena huo mjina "engineer" wanauona mzigo, kwahyo husitegemee kujifunza kitu kutoka kwake.
WENZANGU MBONA MNABISHA KITU AMBACHO NI SAHIHI MM NI NA KAKA YUPO UDOM ASSISTANT LECTURER KWA MIAKA 5 KUPANDA DARAJA HAKUNA NDIO MWAKA HUU ANASOMA PHD UDSM ANALALAMIKA MNO WENZAKE WANASOMA YEYE ANAPGA PINDI TUMkuu okoa muda, achana na huyo mtu.... kwa jinsi alivyoandika comment yake tuu... anaonekana hajapita hata shule ya kata, lakin matusi kibaaao na mikogo isiyokuwa na maana...mara CCNP ENGINEER... waliopita darasan hawanaga fujo kama za kijana hapo... tena huo mjina "engineer" wanauona mzigo, kwahyo husitegemee kujifunza kitu kutoka kwake.