Mshahara wa Aprili umetoka

Uko vizuri mkuu, hao hao wanaojitapa humu kwa kuwa wanabiashara zao, huku kitaa ukiwauliza vipi biashara hii inalipa utawasikia aaaah biashara ngumu wala hailipi!
Huwa nawashangaa sana watu wanaojisifu yasiyowahusu, hasa kwa kuwakatisha tamaa wenzao…!!! Nilishamwona jamaa mmoja, kwa kujitapa mitandaoni unaweza ukajiona huna lolote... NENDA KWENYE MAISHA YAKE HALISI SASA...!!! Hutaamini kabisa kama ndo yeye…
 
Yaan hao watu wengi humuu,, wengine wakiwa humu wanamiliki magari, lakini kiuhalisia hawana hata pkpk,,
 
Siku mkifukuzwa kazi mnakuja kulia lia huku mkijidai mmechanganyikiwa sijui nna mke na watoto pamoja na wategemezi na kuomba mtaji wa kuanzisha Biashara ambayo huijui.......

SELL OR GET SOLID
 
Mnatia aibu

Tatizo mwajiri wao ndio amesababisha wawe na hali hii,haboreshi maslahi yao,hawapandishwi vyeo,hawapewi increments zao na hapo hapo anawataka wafanye kazi kwa bidii,nawaonea huruma sana mkuu hasa kwa wale wenye mishahara midogo sana,kuna mama mmoja ni mtumishi kila mara hunikopa,ningekuwa mkware ningemgonga sema sio mkato wangu
 
Fact.
 
Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.

Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Baada ya Serikali kugundua kuwa mishahara inawatosha ikaona bora iboreshe zahanati barabara na maji safi kama sehemu ya kuwaongezea mishahara
 
Uko vizuri mkuu, hao hao wanaojitapa humu kwa kuwa wanabiashara zao, huku kitaa ukiwauliza vipi biashara hii inalipa utawasikia aaaah biashara ngumu wala hailipi!
Ni roho chafu na unafiki ndo zinawasumbua hao watu wa hivyo wenye majibu ya hivyo,wanawadharau wafanyakazi na wakati huo huo wafanyakaz ndo wateja wao namba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…