OK, tupe na sisi wastaafu bwana!Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.
Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Mliajiriwa mnatabu kweli kweli nasie tunaopata mshahara kila siku tuna coment wapi au tuanzishe uzi wetu
Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.
Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.
Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Mbona sijapata sms? Umeingia kimyakimyaTuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.
Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Mpaka NSSF idundulize toka kwa waajiri, mwisho wa mwezi watakujaza mapesa.OK, tupe na sisi wastaafu bwana!
Kaongea ukweli....Mshahara umetoka leo Night kaliHahaha. Acha kuwatania watu mkuu




. Wacha watu wajiandae na Pasaka.Very relative termMliajiriwa mnatabu kweli kweli nasie tunaopata mshahara kila siku tuna coment wapi au tuanzishe uzi wetu
Uko vizuri mkuu, hao hao wanaojitapa humu kwa kuwa wanabiashara zao, huku kitaa ukiwauliza vipi biashara hii inalipa utawasikia aaaah biashara ngumu wala hailipi!Very relative term
1. Unaweza ukawa unapata mshahara kila siku…. 10,000/- lakini mwenzio anapata 300,000/- mwishoni kwa mwezi... Jua mpo sawa tu, tofauti yenu ni kiwango kwa muda gani
2. Unaweza ukawa unapata mshahara kila siku 10,000/- lakini mwenzio kwa mwezi anapata 1,000,000/-... Huyo kakuzidi..
3. Unaweza ukawa unapata mshahara kila siku, kwa nature ya wabongo, hizo 10,000/- za kila siku usifanye lolote la maana…. BY THE WAY unajuwa kwa nini watu wanacheza michezo ya kupeana hela kila baada ya muda Fulani kuna mtu anapewa MZIGO MKUBWA? Tunashindwa kukusanya wenyewe hadi kifike kiwango cha kufanya la maana….
HIVYO ULIPWE KILA SIKU AU KWA MWEZI, IT ALL DEPENDS ON nidhamu yako ya matumizi ya fedha….