Mshahara wa Agosti 2019


Janja janja tu, Fanya kazi.
 
Jirani yako ndio unamkopesha kwa riba?
 
Watumishi ikataeni CCM inawakandamiza,hakuna ongezeko wala kulipwa stahiki zenu kama zamani
Nilichukua uamuzi wa kumpatia nusu . Hii ni kutokana na taarifa zenu kuwa kumbe bado haujatoka.
 
Hahaaaa mkuu wewe noma sana, umefulia unatafuta habari kijanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…