Mshahara wa Agosti 2019

Halafu wanasahau kwamba wateja wao wengi ni hao wanaowacheka kusubiri mishahara mwisho wa mwezi.
Ndo maana biashara zao huwa zinadoda hadi wafanyakazi wavute mpunga mwisho wa mwezi
 
Usidharau Mwalimu utapata laana!
 
ooohoooooo kitu tayari da ni noma mazee nimemaliza mkopo benk mshahara nauona kama magu katuongezea ha ha ha ha ha ila ngoja niingie tena NMB nikavute mpunga mwingine ninunue crown tamuuu
 
ooohoooooo kitu tayari da ni noma mazee nimemaliza mkopo benk mshahara nauona kama magu katuongezea ha ha ha ha ha ila ngoja niingie tena NMB nikavute mpunga mwingine ninunue crown tamuuu
DAH NJOO PM BAS tuyajenge mama we unafaa kujenga maisha pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…