Huku idara ya afya umetema aisee,Salary kesho kua na subira
nishafanya Sana hivi mwaka 77Jobless tunaangalia comments View attachment 2561666
Ngoja nichungulie😁😁😁 acc nilikula mkeka apa kati Sina njaa😂😂 nakula za mhindi kwanzaHuku idara ya afya umetema aisee,
ewaaa, ngoja nije DMHuku idara ya afya umetema aisee
Sema nkufuate mrembo 😋ewaaa, ngoja nije DM
😂😂 yaaah…njoo tukautumie mshahara huoSema nkufuate mrembo 😋
Hurry up katumie mshahara wa dakitari😂😂 yaaah…njoo tukautumie mshahara huo
😂😂😂 ngoja niwahi kwa daktareeeeHurry up katumie mshahara wa dakitari
Mbona sie sio walimuWalimu utawajua tu ...
Zikiisha zake ,akiwa kwenye mwenzi dume,usisahau kuja kwangu mchoma mahindi,tutumbue na zangu,kutesa kwa zamu😂😂😂 ngoja niwahi kwa daktareeee
Mzigo tayariSalary kesho kua na subira