Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,009
- 807
Nenda kacheck tayari!!!!Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Clips za ndizi au mihogo?tulieni kwanza watu wako busy kutengeneza clips
zote.Clips za ndizi au mihogo?
njaaJamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Crips sio clips kama ni za ndizi, muhogo, viazi, nkClips za ndizi au mihogo?
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]Nenda kacheck tayari!!!!
Vile tutakubeba ukikosekana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nenda kacheck tayari!!!!
Jiongeze mzee baba... Mshahara hautoshi!!Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Na wote tukijiongeza!!!????Jiongeze mzee baba... Mshahara hautoshi!!
Jamani naona wazee walituzoesha mapema...mambo yamekuwa hovyo mpka sasa au ni dalili za ongezeko la mwaka???njaa inatumaliza ambao hatuna akili za kujiongeza(wategemea mshahara) au wadau kuna fununu zozote jikoni huko???
Itakuwa wameuchelewesha kwa sababu ya sikukuu ya idd