sio chipsClips za ndizi au mihogo?
mkuu ya kweli hayo??Mshahara mpaka tarehe 26
kwa hiyo mkuu hao wanaopanda watapanda wote mwez huu??yan mtu akifiwa anafiwa na ofisi??seriaz???Wizara ya fedha inafunga mahesabu kwa hyo kila halmashauri ilipereka mahesabu yake Dodoma,tuvumilie .Mwezi jana waliopamda madaraja walikuwa wachache wakasingizia eti aliyekuwa anaingiza majina alopata msiba
mkuu 19 hadi 22 mwez bado??Mwisho wa mwezi bado...vuteni subra
Ni kweli ijumaa tuwe nasubira mambo mazuri hayataki harakaMshahara mpaka tarehe 26
Tayari tangu JanaKwani bado mpaka mda huu
Tayari tangu Jana
Samahani mkuu kwani Idd yaweza kuwa lini? nina hamu ya kupumzika nisiende kibaruani!!!!Itakuwa wameuchelewesha kwa sababu ya sikukuu ya idd
Usimjibu hivi mwenzako, anaweza kufikiri ametumbuliwa juu kwa juu.Tayari tangu Jana
Nenda kacheck tayari!!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂