BoT wamesema leo watatoa mkuu
Nilivyouliza wamesema wanaendelea na taratibu lakini leo utatoka.Bado nasubiria sms
Halafu mbaya zaidi Juni walitoa 19/6/2019, hahahahahahahha, vumilia mwayaJaman badoo tu
wasitoe tu basi nimechoka kusubiri subiri mazoea wabaki nao tu
Hapo sijakuelewa Demiss mdogo wanguJaman hamken hamkeniView attachment 1160312View attachment 1160314
Nilivyouliza wamesema wanaendelea na taratibu lakini leo utatoka.
Halafu mbaya zaidi Juni walitoa 19/6/2019, hahahahahahahha, vumilia mwaya
Hapo sijakuelewa Demiss mdogo wangu
Jaman mm hapa nimefulia mbayaa hawajui kama tumepeleka watoto shule
Internet banking kujiunga napo mpaka uende benki?Maelezo mkuu!Usimjibu hivi mwenzako, anaweza kufikiri ametumbuliwa juu kwa juu.
Mshahara wote tunapata pamoja kuanzia Rais mpaka sisi washika virungu.
Internet banking unatazama salio bure, hata mara 5000 per day. Mjiunge
Kwa crdb mpaka uwe na Sim banking. Then unajiunga wewe mwemweyewe tuInternet banking kujiunga napo mpaka uende benki?Maelezo mkuu!
Kwa crdb ukiwa umejiunga na sim banking tu unaweza jiunga direct wewe mwenyewe bila ya kwenda Bank.Internet banking kujiunga napo mpaka uende benki?Maelezo mkuu!
Usimjibu hivi mwenzako, anaweza kufikiri ametumbuliwa juu kwa juu.
Mshahara wote tunapata pamoja kuanzia Rais mpaka sisi washika virungu.
Internet banking unatazama salio bure, hata mara 5000 per day. Mjiunge



mkuu umenichekesha sabna mpaka washika virungu bado..har ni tete wakuu.Vipi bila App? Naweza kutumia browserKwa crdb mpaka uwe na Sim banking. Then unajiunga wewe mwemweyewe tu
Kwa crdb ukiwa umejiunga na sim banking tu unaweza jiunga direct wewe mwenyewe bila ya kwenda Bank.
Kwa nmb process zinafanana ingawa nmb ni simple zaidi.
Ukipakua tu app zao tayari
taratibu gani mkuu..heshima inaanza kupungua ndani ya nyumba aiseeeNilivyouliza wamesema wanaendelea na taratibu lakini leo utatoka.
Thanks! Na salary advance kwa CRDB kujiunga lazima uwe public sector(government) tu?Utaratibu wake?Kwa crdb mpaka uwe na Sim banking. Then unajiunga wewe mwemweyewe tu
Kwa crdb ukiwa umejiunga na sim banking tu unaweza jiunga direct wewe mwenyewe bila ya kwenda Bank.
Kwa nmb process zinafanana ingawa nmb ni simple zaidi.
Ukipakua tu app zao tayari