T Tprecious JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 262 Reaction score 350 Jul 19, 2021 #1 Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi?
Mkalimani wa taifa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2020 Posts 753 Reaction score 1,290 Jul 19, 2021 #2 kuajiriwa tabu sana,mpigie simu boss
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,347 Reaction score 11,849 Jul 19, 2021 #3 Hahaha maisha gani haya???
LITA2019 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2019 Posts 485 Reaction score 1,045 Jul 19, 2021 #4 Mkalimani wa taifa said: kuajiriwa tabu sana,mpigie simu boss Click to expand... Mi ndio nimetoka kuukunja hapa. Huko mpaka makato ya miamala itimie! Sent using Jamii Forums mobile app
Mkalimani wa taifa said: kuajiriwa tabu sana,mpigie simu boss Click to expand... Mi ndio nimetoka kuukunja hapa. Huko mpaka makato ya miamala itimie! Sent using Jamii Forums mobile app
Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Jul 19, 2021 #5 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako
lyalya JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 605 Reaction score 563 Jul 19, 2021 #6 Daaa maisha haya ndugu yangu
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,117 Jul 19, 2021 #7 Subiri hapo hapo motivational speaker watakuja kukuuliza kwanini unategemea mshahara?
L Laboma Senior Member Joined Jun 6, 2011 Posts 197 Reaction score 171 Jul 19, 2021 #8 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Hakuna
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Hakuna
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,323 Reaction score 89,513 Jul 19, 2021 #9 Haa wapi ngoma hadi ijumaa
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Jul 19, 2021 #10 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... 🤣
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... 🤣
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 737 Jul 19, 2021 #11 Zero Competition said: Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako Click to expand... Uonevu huu lkn
Zero Competition said: Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako Click to expand... Uonevu huu lkn
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Jul 19, 2021 #12 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Waambie mashekh wasogeze sikukuu mbele...
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Waambie mashekh wasogeze sikukuu mbele...
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,343 Jul 19, 2021 #13 Kwanini mashehe hawakuzingatia hilo!
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,682 Reaction score 3,066 Jul 19, 2021 #14 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Makusanyo yanaendelea tigo voda nk zikijaa mtapata!!
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Makusanyo yanaendelea tigo voda nk zikijaa mtapata!!
Lutandagula JF-Expert Member Joined Apr 8, 2018 Posts 1,758 Reaction score 2,155 Jul 19, 2021 #15 30/7/2021 tutawalipa mishahara ngoja tutafute kwanza mishahara yenu,kabati halina kitu kwa sasa! Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
30/7/2021 tutawalipa mishahara ngoja tutafute kwanza mishahara yenu,kabati halina kitu kwa sasa! Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,433 Reaction score 88,774 Jul 19, 2021 #16 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Makampuni yanayojielewa kesho yataanza kulipa mishahara ila makampuni ya JANJA JANJA JAZZ BAND wanapiga pass ndefu.
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Makampuni yanayojielewa kesho yataanza kulipa mishahara ila makampuni ya JANJA JANJA JAZZ BAND wanapiga pass ndefu.
LITA2019 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2019 Posts 485 Reaction score 1,045 Jul 19, 2021 #17 King Kong III said: Makampuni yanayojielewa kesho yataanza kulipa mishahara ila makampuni ya JANJA JANJA JAZZ BAND wanapiga pass ndefu. Click to expand... Nnapofanyia kazi tangu jana tushacheka Sent using Jamii Forums mobile app
King Kong III said: Makampuni yanayojielewa kesho yataanza kulipa mishahara ila makampuni ya JANJA JANJA JAZZ BAND wanapiga pass ndefu. Click to expand... Nnapofanyia kazi tangu jana tushacheka Sent using Jamii Forums mobile app
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Jul 19, 2021 #18 Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Kwani mkataba wako unataka payday ni lini..!? Payday yenu ina depence yoyote na sikukuu..!? Ingekuwa tarehe 12 Ndiyo Eid, ingekuwaje..!?
Tprecious said: Wadau kama mjuavyo jumatano yaani kesho kutwa ndo siku kuu ya iddi je kuna uwezekano wa kupata mshahara kesho kwa ajili ya maandalizi ya iddi? Click to expand... Kwani mkataba wako unataka payday ni lini..!? Payday yenu ina depence yoyote na sikukuu..!? Ingekuwa tarehe 12 Ndiyo Eid, ingekuwaje..!?
H HUSSEIN KASSIM KAUMO New Member Joined Jun 24, 2021 Posts 2 Reaction score 0 Jul 19, 2021 #19 Zero Competition said: Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako Click to expand... kwa hiyo hata pasaka tunapambana na hali zetu duuuuuuuu
Zero Competition said: Sikukuu ambayo mishahara huwa inawahi ni moja tu Christmas....hizo zingine pambana tu na hali yako Click to expand... kwa hiyo hata pasaka tunapambana na hali zetu duuuuuuuu
Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Jul 19, 2021 #20 HUSSEIN KASSIM KAUMO said: kwa hiyo hata pasaka tunapambana na hali zetu duuuuuuuu Click to expand... Serikali haijawahi kulipa mshahara mapema kwenye sikukuu ya pasaka wala Eid.Mshahara unaolipwa mapema ni mmoja tu kwa mwaka ambao ni ule wa mwezi December.
HUSSEIN KASSIM KAUMO said: kwa hiyo hata pasaka tunapambana na hali zetu duuuuuuuu Click to expand... Serikali haijawahi kulipa mshahara mapema kwenye sikukuu ya pasaka wala Eid.Mshahara unaolipwa mapema ni mmoja tu kwa mwaka ambao ni ule wa mwezi December.