Mshahara mpya ni kichefuchefu kitupu!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
441
Reaction score
118
Watumishi wa umma wamekuwa wakisubiri kwa hamu kuona na
kujua ongezeko la mishahara mipya kwa muda sasa. Na mengi
yameandikwa na kusemwa hapa lakini ukweli ni kwamba

1. Kima cha chini kabisa kimeongezeka kwa Tsh. 70,000
kutoka 170,000 hadi 24,000
2. Tgs D mshahara umeongezeka kwa Tsh. 55,600
3. Tgs E mshahara umeongezeka kwa Tsh. 54,800
4. Tgs F mshahara umeongezeka kwa Tsh. 34,700
5. Na Tgs H hadi J mshahara umeongezeka kwa Tsh. kati ya 160,000
hadi 200,000,
NA WAKUBWA WAMEONGEZEW TSH. 400,000
HABARI HIZI NDIO UKWELI NINA WARAKA LAKINI SITAUWEKA HAPA KWA SABABU ZA PRIVACY
NAOMBA TAFADHALI SITAPENDA MALUMBANO LAKINI AM STAND TO BE CORRECTED....
 
Habari hizi ndio ukweli nina waraka lakini sitauweka hapa kwa sababu za privacy
naomba tafadhali sitapenda malumbano lakini am stand to be corrected....
 
kwani kama huujui halafu ukakaa kimya kuna tatizo gani?
 
Unaogopa nini kuweka waraka wakati kila kitu kipo wazi mbona wa waraka wa mishahara ya Private sector uliwekwa hapa na watu kujisevia acha uchoyo wewe weka hapa panasema where you dare to talk openly
 
sasa wewe ulitaka waongeze kiasi gani. Mbona unatosha.
 
Habari hizi ndio ukweli nina waraka lakini sitauweka hapa kwa sababu za privacy
naomba tafadhali sitapenda malumbano lakini am stand to be corrected....

Kama ni Privacy ni nini kimekufanya ukanzisha hii thread?
 
Ninaokuona na wewe ni mbabaishaji kama wababaishaji wengine waliotangulia na taarifa kama zako... nimepita
 
Unaogopa nini kuweka waraka wakati kila kitu kipo wazi mbona wa waraka wa mishahara ya Private sector uliwekwa hapa na watu kujisevia acha uchoyo wewe weka hapa panasema where you dare to talk openly

Mbabaishaji tu huyo mkuu..
 
Majanga ooohh majangaaaa ooohh majanggaaaaaaa
 
Mbona mnamshabulia na yeye amewaambia ni masuala ya privacy, kama hamtaki kuamini si subirini mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…