Mshahara mpya kutangazwa leo

Binafsi nahisi kuna mkakati mkubwa na wa dhati unaotakiwa kuchukuliwa na serikali badala ya kukumbizana na inflation tena kwa kundi dogo tu la waajiliwa, wakati tunaambiwa zaidi ya Asilimia 80% ya Watanzania wako kwenye sekta isiyo rasmi. tunapozungumza sasa hivi lita moja ya mafuta ya taa ni zaidi ya sh 2000/= wakati si zaidi ya asilimia 15% ya Watanzania wa access na umeme wa mgao, maharage mboga ambayo inatumika na watanzania wengi kuliko yeyote leo hii kilo ni sh 2,000/= Namshauri Mh Rais asidanganywe atafakali na kuchukua hatua madhubuti juu ya maisha ya watanzania million 41 ambao amebeba dhamana yao.
 
yaani bunge linaboa nimeamua kuangalia aljazera live kesi ya Ratko Mladic ambapo jaji alimteua wakili wa kumtetea, Mladic akataharuki kambwatukia jaji eti who are you anataka amteue yeye wakili wake mwenyewe basi ikawa hawasikilizani ikabidi Mladic atolewe nje duh jaji kafedheheka mno. bunge bovu halina tija
 
Hawezi kutangaza mshahara mpya watatoa waraka wa utumishi, wakifanya hivyo bei zitapanda sana.
 
Kiwango cha mshahara kinatajwa katika waraka wa utumishi ambao ni waraka wa siri huwezi kuutangaza kwenye vyombo vya habari.
 
Kiwango cha mshahara kinatajwa katika waraka wa utumishi ambao ni waraka wa siri huwezi kuutangaza kwenye vyombo vya habari.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom