Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Ndio mnavyojifariji? Hakuna anayepata Div 1 advance akaenda ualimu. HAKUNA
Kuna mwalimu wetu mmoja advance nilikuwa namfahamu alipata division 1 form six enzi zake na form 4 alipata division 2.
Kuna watu wanapenda ualimu tu sio wengi ila wapo kabisa unakuta mtu amefaulu lakini dream job yake ni kuwa mwalimu
Inashangaza sana ujue



Its time to wake up! Walimu wanatumiwa kama scapegoat tu na wanasiasa Censoring their ROT!
Amkeni Fuatilieni mambo ya Msingi sio kila siku Mwalimu