Nimewapenda wadada wote mliochangia uzi huu,seems mnajua maisha kwamba yanaanza kama mchicha na baadaye yanakuwa kama mbuyu
Pongezi tena na tena.
watu wanatafta japo sehemu za kujitolea yy analemba hiyo laki tatu!!! mwacheni asugue gaga kitaa kama hajatamani angepata hata kazi ya laki.
huhuhuu! utahimili mikiki mikiki ya mkuyati excel?
huhuuu! mimi ni zaidi ya fiat ujue? huhuhuuuu!
huhuhuuu! ngoja pesa zihamie kwa vijana, utakuja mwenyewe bila friend request! huhuhuuu!Aisee mi serengeti siwawezi aloo nataka wazee wenzangu
Hiyo ni hela yangu ya bia kwa mwezi.
utawaweza watu wa humu kila mmoja kujifanya mambo safi. mtu anashangaa mshahara wa laki mbili muulize hapo home kama wana house girl wanamlipa sh ngapi. mi namshauri mtoa mada aende kama kapata hiyo kazi. hujui humo ndani kunaweza kukawa na benefits kibao na mshahara ukakaa benki hata miezi sita usiwe na habari nao.
huhuhuuu! ngoja pesa zihamie kwa vijana, utakuja mwenyewe bila friend request! huhuhuuu!
Mkuu unashangaa laki tatu? watu tunalipwa laki na nusu...
Na ww mkuu una degree ati?
Tumeishafika,sema!Aisee mi serengeti siwawezi aloo nataka wazee wenzangu
Mkuu ungauliza kama ana fedha,mwenye degree ndo huyo anaomba ushauri wa kuajiliwa.Na ww mkuu una degree ati?
Mi mwenyewe pesa nnazo.....laki na nusu kwa mwezi mchezo?
hahahaaa!! kumbe hufikishi boom ninalopewa? huhuhuuu!
ila kweli unazo, kiasi lakini! soon ntakuwa sugar dadi wako! huhuhuuu!
Mkuu sijajua swali lako umeuliza kwa malengo gani so sitakujibu
Acha zarau....labda uwe shugadadi wa mwanangu
hahahaaa! hivi umemaind kweli mamii!? pole, mwanao kweli? si ntapigwa 30 yrs jamani?
sawa nakubali mrembo! but the day you test, you will need a full plate with water to drink with!
i dont miss you! huhuhuuu!