Un-shock mode has been activate, you can go to your normal condition now, lol
Hahahahaha mbavu zangu mie
hehehe, mbavu zako zimefanyaje tinna cute, lol
Ni kweli kabisa. kuna watu wanalipwa milion na wanalilia shida, mwisho wa mwezi hana hata shillingi, matumizi makubwa, Issue ni kujitambua na kuweka mipangilio. Maisha ni mipangilio na subira. It is not how much you make but how much you spend.
anza na mshahara mdogo upande pole pole mkuu ... ni laki 3
Hiyo laki 3 atakuwa anakula na kulala hapohapo? Mbona ataishia kuwa mwizi kama atalipwa hiyo akitokea kwa makuka
Watu wameajiriwa na mishahara midogo na degree zao baada ya kukaa mtaani wakitafuta mishahara mikubwa na hawakupata.
They spend a lito na kujituma mishahara imepanda sasa yeye akataa while kuna watu kbao wanatafuta kazi
Umenichekesha ndugu na hako ka msemo ka bibie malkia wa uk
Hata bado sijazinduka na huo mshahara ulivyoupigia bajeti ndo naona kizunguzungu na nyotanyota Teh!!!!mshahara laki 3 na mwengine akasema laki unusu kabisa!!!:shock::shock:Un-shock mode has been activate, you can go to your normal condition now, lol
Hiyo laki 3 atakuwa anakula na kulala hapohapo? Mbona ataishia kuwa mwizi kama atalipwa hiyo akitokea kwa makuka
acha woga mkuu watu tumeanza na mshahara laki mbili
Benk ya posta wananilipa 140,000 na hapo kama nikifikisha wateja 40 kwa mwezi chini ya hapo nalamba 80,000 na bachelor yangu. Mh maisha magumu aisee.
Omba mkopo hapa wa miliom moja uanze kuuza hata vocha utaendelea kuliko hapo ulipo