Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,315
- 14,165
Niko katika hatua za mwisho kufungua pub,kimara temboni,nahitaji bar maids wazoefu,hasa kutoka bar nyingine,mshahara kiasi gani kwa mwezi naweza kuwashawishi wahame wanapofanya kazi waje kwangu,na wale wa counter mshahara huwa tofauti na wengine,ushauri naombeni wakuu.