Mshahara bar maids

Mshahara bar maids

huyu manager mtarajiwa kama kusema 'so' tu kunamshinda anasema 'xo', ataiweza kaz kweli? boss hebu pitia CV yake vizur asijekua anatokea call me J, halaf kama ni jinsia me akisema 'xo' ndo huwa nashangaa kuliko maelezo. No hard feelings.........
Mkuu usini interpret vbya kwa sabu ya hyo lg apo CV iko vizuri kabisa hapa ni informal communication ndo mana unaona vifupisho km hivyo
 
Kama ni Pub kubwa Kama kez mshahara ni kuanzia laki moja! Counter laki na nusu, zingatia sare .unifom ziwe nzuri,.!!!temboni sehem gani nikuletee wadada wawili. Kaunta mmoja na service mmoja
 
Back
Top Bottom