Msg toka kwa mpenzi:

Msg toka kwa mpenzi:

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
"hivi we "PIMBI"Nani?anayekuchanganya uko JF?tangu Asubui paka saa sita za Usiku uko Jf,ok chaguwa moja unipe User name na paswedi?au uendele na Ujinga wako unaoitwa Jf?",Jamani naombeni msaada nijibu vp hii msg tangu ime2mwa ni dk 10 zimepita,Mx
 
mkabidhi username na pasiwedi na mwili pia.
 
We "pimbi"??? Hizi loveydavi zingine jamani..... Mmh!
 
Leo nimegundua kitu,kumbe jina lako lingine unaitwa PIMBI nilikuwa sijui. Sasa bwana Pimbi utajua mwenyewe kusuka au kunyoa.
 
Weeee,"PIMBI"mpige sound 2,atakuelewa.Ukitoa username na password utashindwa kujimwaya.
 
Endelea na JF....ushaitwa Pimbi,huna maana kwake...lol
 
mi mwenzio hapa nimenuniwa kisa niko bize na jf ameniambia nikimaliza nisimguse nimuache hivyo hivyo, wanawake wanamambo jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom