Msg kutoka kwa Jirani.

MESTOD

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
4,798
2,004
Jirani yangu aliniambia,

"Samahani nahitaji mke wa mtu leo usiku,
nyumbani kwangu kuna panya wananisumbua sana,
maana nasikia MKE WA MTU NI SUMU."

Ungekuwa wewe ungemjibu vipi huyu jirani yangu?
 
Back
Top Bottom