Mseto

Mseto

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Ukiacha US ambapo rais kwa utashi wake na chama chake huamua kuteua mawaziri kutoka upinzania, hapa Afrika kwetu mambo ni tofauti. Unakuwa na rais na waziri mkuu/makamu wanaoteua nusu kwa nusu. Mambo haya yalianzia Kenya. Kisha Zimbabwe. Juzi juzi Zanzibar. Sasa sijui Ivory Coast itakuwaje....
 
Back
Top Bottom