Mseto na mchuzi wa nazi wa samaki

Thanks kwa pishi bi shost.

Umenikumbusha mama yangu ni mpishi mzuri wa mseto. Sema sasa umri umeenda tu maskin.

Pia mseto unanoga pia kwa roast la nyama au hata mchuzi wa nyama wa nazi.

Yummy
 
Thanks kwa pishi bi shost.

Umenikumbusha mama yangu ni mpishi mzuri wa mseto. Sema sasa umri umeenda tu maskin.

Pia mseto unanoga pia kwa roast la nyama au hata mchuzi wa nyama wa nazi.

Yummy
Yah hata mamaangu anaupika sana na mchuzi wa nazi wa nyama…..:)
 
Umenikumbusha, siku mseto ukipikwa siijui shibe yangu, ulipontajia changu haswaa ndo samaki mwenywe, asante sana pishi ni zuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom