manoah kaonekana ananunua sumu ya panya huko..et sosoliso...ww ndo uyo mrefu kwenye iyo avatar yako?
jasiri haachi asili...kwako ni kwako tu,wavamizi wakija,hutakiwi kupakimbia
shem wangu mzima wa afya
nipo nae na tumeanza wk/end yetu
kwa raha zetu!msalimie bibie!
nipo nawatizama tuuu...........hahahahaaaaaaaaa
Polisi ben nakuagiza kuanzia leo kamata mtu yeyote anayeleta tatizo KAMATA, TUPA NDANI.
duuh Passion Lady.. afadhali maana nilishaanza kuwa na shaka..
ahsante Passion Lady.. mie niko na mai waifu Paloma tunajiandaa na w/end ndefu..karibu tufurahie wednesday wk/end spesho!
ahsante Passion Lady.. mie niko na mai waifu Paloma tunajiandaa na w/end ndefu..
ahsante Passion Lady.. mie niko na mai waifu Paloma tunajiandaa na w/end ndefu..
pouwa,niruhusu niwasukumie mabwe-pande,,,watakoma kichaa kapewa rungu pembeni kuna nyumba ya vioo, subiri Arushaone utaona.
we Arushaone shepu ya mgambo hii
mm ni la generali naongoza kikosi cha mzinga
arusha na tanzania kwa ujumla!nitakusambaratisha arifu!
Ruksa ila itabidi style ibadilike kidogo, wakati wa kung'oa meno au kucha tumieni ganzi.
Sawa afande Polisi ben?