Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
bas usiwe unakunywa hizo
kunywa tu banana uliyoizoea!hahaa!
Kamanda yupo wapi? Leo ni jumamosi, jana ilikua ijumaa
Nimh
hahaa!haya bana!
kamanda yupo busy
hiyo kalenda unayotumia ni ya mwaka
gani shem darlng!
Jana tulicho panga, kinafanyika saa ngapi
Shemu kuna zawadi yako, unajua nakupenda kuliko hata loya hafikii eeeh
Baba V kachoka mwendo wa Lumo hadi tegeta kibaoni na hajui lini atapokea mshahara.
Passion Lady....naona kila kitu,namvutia kasi tu manoah