Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Pesa humaliza matatizo au matatizo humaliza pesa.?
''Ukitaka kula sharti Uliwe''
Jakaya M. K
W/Kend njema wana Jf...
Leo weekend yangu imeanzia hapa wajamen, kwa alie karibu na kino klain akaribie... nitafurahi Paloma nikikuona hapa
Leo, banana zimekwisha imebidi niende mwendo wa safari na masela hapa
Pombe za kwenye send off ndo zimemfanya hivyo, mcheki ilivyokuwa kwenye picha hapo juu...
situmiagi hayo makitu...................thanks anyway!!!
situmiagi hayo makitu...................thanks anyway!!!
Kweli nimeamini pombe sio chai, leo ni week end...!?? umevurugwa dogo, sio bure
Nimekuona na masela wako... Mkiyarudi magoma kwa shida zenu...
Pombe za kwenye send off ndo zimemfanya hivyo, mcheki ilivyokuwa kwenye picha hapo juu...
hahaaaa!kweli pombe
za bure zina kazi!
Sio za bure, shemeji yangu mpenzi.