Msemo wa Leo....

Unakodoa mimacho kwenye geji ya mafuta wkt umo humo garini kw kuomba lift ! Inahu...?
 
Ukiyanywa maji'' jiandae haja ndogo'' na shamba la pili pli mtoto hachezei tunda la kuiva.
 
Kusinzia raha kuliko kulala, kuramba sahani kuna utamu zaidi ya kula msosi.

Mchamaago hanyeli huenda akawia papo
 
Here are funny swahili sayings,hapa naona wahenga were in merry moods.

-masikini akipata ****** hulia mbwataaaaa!

-Ukiiga tembo kunya utapasuka msaba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…