Msemo wa Leo....

ukitaka kujua tabia ya mtu, subiri apige hodi!
 
Mmm mi napita coz nilianzisha thread kama hiyo nikapewa onyo so better nipite tu
 
Ngoja hii thread nifunge na hii! sisiem NI JANGA KWA WATANZANIA WAJAMENI:
 
Dawa yao ni kuwakimbia,
channel zote chenga
 
Mbwa wa masikini hawezi kuhamia kwa tajiri.
 
hamna mtu mfupi duniani, ila inategemeana umekaa na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…