Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,398
Hata mimi nimejiona mjinga mkuu.kujibu pia kucomment kt hii thread ni ujinga
Hata mimi nimejiona mjinga mkuu.kujibu pia kucomment kt hii thread ni ujinga
Sema mahabati! amuoe hivyo hivyo hakuna namna[emoji23]
Sasa wewe mbona uko tayari kuolewa naye sasahivi?Wewe Lowassa angekuwa kijana ingebidi akuoe tu.
Sio kwa mahaba haya.
Ni wapi nilikosema nipo tayari?Sasa wewe mbona uko tayari kuolewa naye sasahivi?
Mkuu umemshawishi mumewako asikubali kushikishwa "UKUTA" tar 1 September? Au mtagugumia pamoja maumivu?Hivi ni kweli mtoa mada huijui mamlaka ya juu?
Sio kila kitu cha kuulizia,unajiongeza tu.
Nifah nataman uwe unachangia kwa mamlaka ya juuNi wapi nilikosema nipo tayari?
Wewe ndio una kila dalili ya kumtaka Mzee.
Kila wakati Lowassa,Lowassa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nifah nataman uwe unachangia kwa mamlaka ya juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umemshawishi mumewako asikubali kushikishwa "UKUTA" tar 1 September? Au mtagugumia pamoja maumivu?
Ndiyo maana mamlaka inaonekana hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaanisha niwe nachangia kwa agizo kutoka mamlaka ya juu mkuu?
Kivipi mkuu wakati wake wa wanaumewenu wanaandamana kwenye mitandao ya kijamii hawataki waumezao kushikishwa ukuta...je wewe umemruhusu mzee?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu sasa ni uchokozi.
Wanatekeleza maagizo toka juuHasa polisi wanakapenda sana kamsemo haka,utafikiri huwa wanakaendea kozi kwanza.