JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Zitatusaidia nini hata tukizijua? Afanye mbwembwe amalize muda wao aondoka ili na yeye mamlaka ya juu imshughulikie.Hakuna aliye juu ya sheria.Na bado mtazijua tu mamlaka toka juu.

halafu ni wapumbafu na malofa ni vilaza, du! ni mamlaka ya juu kwelimaagizo toka mamlaka ya juu inasema kuwa,watanzania ni mazezeta.
HeheKuondoa Ukomo wa nafasi ya Mwenyekiti katika Katiba ya Chadema, na maigizo kutoka mamlaka ya juu..
Je na hiki ulicho kiandika umepata maagizo kutoka juu?Kuna kamsamiati kapya siku hizi kameanza na kalianzishwa na mgombea wa urais wa ukawa ,
Msamiati ni mamlaka ya juu imeagiza nifanye hivyo
1. Waliomkamata Lissu wanasema ni maagizo toka juu
2. Mkataba wa Richmond , maagizo toka juu.
3. Kukokota kivuko kukirejesha kigamboni kutoka baharini kikielekea Kenya kwenye matengenezo, waliagizwa na mamlaka ya juu,
4. Kuwafukuza wanafunzi u Dom , kutoka mamlaka ya juu,
5. Naibu spika wengine wanasema kawekwa kwa maagizo toka mamlaka ya juu
6. Meter pale bandarin wanasema walitumiwa Meseji toka mamlaka ya juu ili waziri mkuu akute zinafanya kazi
Huu msamiati wa maagizo au mamlaka ya juu , ni msamiati unatisha usiombewe ukamatwe kwa agizo la mamlaka ya juu. Maana hata haumjuhi ni nani na vyombo vikilipoti havimtaji
Je, mamlaka ya juu ni nani huyo?? Au wengine wanadanganya wanakuwa hawajatumwa au labda ni kweli wanatumwa je ni nan hao mamlaka wa juu?
Umemuuliza swali zuri unaweza kuta naye ni mamlaka ya juuJe na hiki ulicho kiandika umepata maagizo kutoka juu?
lada juu mbinguniKuna kamsamiati kapya siku hizi kameanza na kalianzishwa na mgombea wa urais wa ukawa ,
Msamiati ni mamlaka ya juu imeagiza nifanye hivyo
1. Waliomkamata Lissu wanasema ni maagizo toka juu
2. Mkataba wa Richmond , maagizo toka juu.
3. Kukokota kivuko kukirejesha kigamboni kutoka baharini kikielekea Kenya kwenye matengenezo, waliagizwa na mamlaka ya juu,
4. Kuwafukuza wanafunzi u Dom , kutoka mamlaka ya juu,
5. Naibu spika wengine wanasema kawekwa kwa maagizo toka mamlaka ya juu
6. Meter pale bandarin wanasema walitumiwa Meseji toka mamlaka ya juu ili waziri mkuu akute zinafanya kazi
Huu msamiati wa maagizo au mamlaka ya juu , ni msamiati unatisha usiombewe ukamatwe kwa agizo la mamlaka ya juu. Maana hata haumjuhi ni nani na vyombo vikilipoti havimtaji
Je, mamlaka ya juu ni nani huyo?? Au wengine wanadanganya wanakuwa hawajatumwa au labda ni kweli wanatumwa je ni nan hao mamlaka wa juu?
Wewe Lowassa angekuwa kijana ingebidi akuoe tu.Lowassa kugombea urais UKAWA ni maigizo kutoka juu
Sema mahabati! amuoe hivyo hivyo hakuna namna[emoji23]Wewe Lowassa angekuwa kijana ingebidi akuoe tu.
Sio kwa mahaba haya.