Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 949
- 1,196
Kuna kamsamiati kapya siku hizi kameanza na kalianzishwa na mgombea wa urais wa ukawa ,
Msamiati ni mamlaka ya juu imeagiza nifanye hivyo
1. Waliomkamata Lissu wanasema ni maagizo toka juu
2. Mkataba wa Richmond , maagizo toka juu.
3. Kukokota kivuko kukirejesha kigamboni kutoka baharini kikielekea Kenya kwenye matengenezo, waliagizwa na mamlaka ya juu,
4. Kuwafukuza wanafunzi u Dom , kutoka mamlaka ya juu,
5. Naibu spika wengine wanasema kawekwa kwa maagizo toka mamlaka ya juu
6. Meter pale bandarin wanasema walitumiwa Meseji toka mamlaka ya juu ili waziri mkuu akute zinafanya kazi
Huu msamiati wa maagizo au mamlaka ya juu , ni msamiati unatisha usiombewe ukamatwe kwa agizo la mamlaka ya juu. Maana hata haumjuhi ni nani na vyombo vikilipoti havimtaji
Je, mamlaka ya juu ni nani huyo?? Au wengine wanadanganya wanakuwa hawajatumwa au labda ni kweli wanatumwa je ni nan hao mamlaka wa juu?