Msemo uliokukera zaidi mwaka huu

Sema msemo unaokukera mkuu acha kuhubiri siasa hapa [emoji23][emoji23][emoji23] Siyo kila wakati ni siasa. We can relax and laugh sometimes. Ndo maisha ati!
 
"Mniombee" by Magufuli.

Kumbe tumuombee afunge watu vizuri
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1]

Mkuu......
Umenichekesha mno yaani nmecheka sana.....
" naomba sana sana watanzania wenzangu mniombee " by uncle magu.

[emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Naomba busara itumike huu msemo siupendi kweli masikion kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…