ungetaja nafasi yake sawa, kwanini utaje msomali kama si ubaguzi ni kitu gani?Ubaguzi apo uko wapi.............au ilo neno limekujaa mdomoni
Weye uoni soka letu linavyodidimizwa na wachumia tumbo, wakitoka awa wanaingia wengine wapigaji soka la bongo lishakuwa km uwanja wa siasa, kwaiyo kabaki Zanzibar ndiye anaye tutowa kimasomaso baada ya wachumia tumbo kuondoshwa mashindanoni, big up Zanzibar heroesubaguzi haufai, hukumu kwa kushindwa kwake usihukumu kwa asili yake.
acha ubaguzi, mfano ally mwanakatwe, ndolanga na hata tenga walisemwa lakini si kutaja makabila yao.Weye uoni soka letu linavyodidimizwa na wachumia tumbo, wakitoka awa wanaingia wengine wapigaji soka la bongo lishakuwa km uwanja wa siasa, kwaiyo kabaki Zanzibar ndiye anaye tutowa kimasomaso baada ya wachumia tumbo kuondoshwa mashindanoni, big up Zanzibar heroes
Mkuu, ubaguzi umeshajijenga. Mtanzania halisi ni yule mweusi tii ambaye hajui hata chimbuko la babu zake. Tuna safari ndefu mpaka inakatisha tamaa! Msomali, Mhindi, Mzungu, Mwarabu... wakimaliza huko wataanza jaluo, makonde, sukuma, mawia...ungetaja nafasi yake sawa, kwanini utaje msomali kama si ubaguzi ni kitu gani?