Msemakweli ni mpenzi wa Mungu

kadeti

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
987
862
Ni bora sasa ZFA wakawa wanachama wa FIFA na CAF and then TFF wakawa watazamaji kwanza msomali na mpira wapi na wapi.......
 
Ila kweli nadhani wazanzibar kwenye mpira tunawadidimiza sisi,fanye mchakato caf na fifa kuwatambua
 
ubaguzi haufai, hukumu kwa kushindwa kwake usihukumu kwa asili yake.
Weye uoni soka letu linavyodidimizwa na wachumia tumbo, wakitoka awa wanaingia wengine wapigaji soka la bongo lishakuwa km uwanja wa siasa, kwaiyo kabaki Zanzibar ndiye anaye tutowa kimasomaso baada ya wachumia tumbo kuondoshwa mashindanoni, big up Zanzibar heroes
 
acha ubaguzi, mfano ally mwanakatwe, ndolanga na hata tenga walisemwa lakini si kutaja makabila yao.
 
ungetaja nafasi yake sawa, kwanini utaje msomali kama si ubaguzi ni kitu gani?
Mkuu, ubaguzi umeshajijenga. Mtanzania halisi ni yule mweusi tii ambaye hajui hata chimbuko la babu zake. Tuna safari ndefu mpaka inakatisha tamaa! Msomali, Mhindi, Mzungu, Mwarabu... wakimaliza huko wataanza jaluo, makonde, sukuma, mawia...
 
Back
Top Bottom