Anaiba nini jamani
Hauoni vesti ina matone ya damu mkuu??Kabebeshwa kwa lazima aisee
itakuwa abiria wamemuona wakambutua naona damu hawa ni wale wanaotubugudhi kwenye madaladala kujifanya wamebeba bahasha wanaenda ofisini kumbe ni vibaka asubuhi mpaka asubuhi unamkuta kituoniKabebeshwa kwa lazima aisee
huyu si msema kweli, hakufanya hivyo kwa ridhaa yake, hapo ni polisi si unaona damu kwenye t shirt, lakini maadili ya askari wtu ndo hivyo tena wameileta tna huku, lakini yawezekana mleta uzi ni askari mwenyewe