MKuu, hawana lolote hao, ni unafiki tu unawasumbua. Wanapiga kelele na propoganda za kijinga tu, lakini ndege zikija wanapanda!Hapa kuna watu wananuna...! Kisa 'ATCL' inaimarishwa na bado wanajiita wana wa taifa la Tanzania.
Hapa kuna watu wananuna...! Kisa 'ATCL' inaimarishwa na bado wanajiita wana wa taifa la Tanzania.
Huyu Msemaji wa Serikali wana kikundi chao cha Wanafunzi waliomaliza Azania mwaka fulani, jamaa wanamzodoa humo kwenye hilo group lao la Whatsapp mpaka anatia huruma..Chenge, ngeleja, tibaijuka n.k. wanakula bata
Dkt. Hassan Abbasi.
Amesema mradi huo utazalisha Megawatt 2100 ambacho nikiasi cha zaidi ya mara mbili ya umeme wote unaotumika Tanzania kwa sasa, ambao ni Megawatt 1000, na kueleza Tanzania itakuwa donnor country kwenye kutoa huduma ya nishati.
Una Clip utuwekee?hongereni ila waziri wa fedha ashatangaza hali mbaya ya kiuchumi.
Haziwezi kuwa na maana kwa mafisadiMambo yaleyale tu...hamna kipya hapo....tunazungukazunguka mulemule kama duara....
Maisha kutesa kwa zamu...kuna ambao walitesa kipindi cha Kikwete na sasa wanaoshi kama majini...while kuna wanaotesa miaka hii....
Report kama hizo zina maana kwa watz kama asilimia 20% tu......wengi hata haziwahusu kabisa....
Hayo ndio maswala ya msingi kwa ustawi wa Taifa.Ndugu msemaji wa serikali haya yote tunayajua inakuwaje kila siku unaongea vitu hivyo hivyo?
Na kila kiongozi nae anaongea mambo hayo hayo
Umeme, Reli, na kusifiwa basi hakuna mengine?
Hao mafisadi umekua wimbo wa taifa...hamna impact yoyote.....Haziwezi kuwa na maana kwa mafisadi
Hapana wa mangeHiyo avatar ni ya mwilini kwako? Samahani kwa hili swali
Ningekuwa kwenye hilo group nadhani ningekuwa segerea kwa kesi za uchocheziHuyu Msemaji wa Serikali wana kikundi chao cha Wanafunzi waliomaliza Azania mwaka fulani, jamaa wanamzodoa humo kwenye hilo group lao la Whatsapp mpaka anatia huruma..
Maana haya maujinga anayoyaongelea kwenye hizi press conference alikuwa anayapeleka kule, wamemkomesha, siku hizi kimya.