Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Wachawi aina ya nyumbu wanatokwa mapovu utadhani hizo ndege ni za Chato, kumbe ni za Tz na wananchi ndio watakaoteseka
 
Magu ataichoka hii Nchi mwenyewe.
Kaja na Spidi kubwaa kuliko uwezo wa Nchi.

Anataka kwa miaka 5 tuwe kama marekani, hahaaha.

Mandege Makubwa, Ma reli na ma fly over ya ajabu wkt nchi haina umeme wa kutosha, maji, elim nk.?
Hata hhhala la taifa halina chakula cha dharula
 
Back
Top Bottom