Msemaji wa Hamas auawa na Israel

Msemaji wa Hamas auawa na Israel

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
24,706
Reaction score
44,087
Msemaji wa kundi la wanamgambo la Hamas Abdel-Latif Al-Qanoua ameuawa katika shambulio la anga la Israel kaskazini mwa Gaza. Taarifa hizo zimeripotiwa na vyombo vya habari vyenye mafungamano na Hamas mapema leo, akiwa ni kiongozi wa juu kuuawa hivi karibuni tangu Israel ianzishe tena operesheni zake katika eneo hilo.
 
Chanzo Cha taarifa tafadhali!
 
Huu uzi wa tano kuhusu hiyo habay na hauunganishwi na mwingine,unawafurahisha ma-mode waliopo kwaresma,ingekua netanyahu kukimbia mabomu ya Iran ungeunganishwa na uzi wa vita vya gaza
 
Back
Top Bottom