Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,623
Ukikamatwa utoe ushahidi unao? Au unadhani wakikusaka wazee watashindwa kukupata?Huyu ndiyo alikuwa anaratibu wale wanaotupa mabomu hovyo mitaani.
Msipende kuropoka kisiasa vitu serious kama hivi vya kiusalama!