kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 503
Sasa kinakuogopesha kipi kama CC yoote ni watiifu kwa Mwenyekiti?Hata akimu-endorse haitasaidia chochote as long as majority ya wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, ni watu wa Magufuli. Kama hujapita CC nani atakutambua?
Hata Msekwa akimu-endorse haitaleta tofauti yoyote.
Angalia hapa jinsi anavyomu-endorse Rais Magufuli.