figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,369
Nalewa bwashee , sina siri๐คฃ
Target ni waraibu ambao wako tayari attended na MirembeWala huhitaji dawa kuacha pombe.
Ni uamzi tu, nje ya hapo ni ulimbukeni usiokua na maana.
๐๐๐๐ช๐ฟNalewa bwashee , sina siri๐คฃ
Hiyo sasa itakuwa sumuSidhani kama kuna dawa ya kuacha pombe, hii itakuwa ni dawa ya kukusaidia kuacha pombe.
Labda inakufanya ujisikie vibaya ukitumia vitu vyenye pombe au inakupunguzia ile hamu.
Wajuzi watuambie.
Hahahaha๐๐๐