Msc in Data Science vs Msc in Mathematical Modelling

fala ww huna unachojua.

Hiloo kubwa jinga . Unataka usome mathematical modelling huku advance umesoma hkl

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
ndo maana nakwambia we ni fala,huna unachojua,na bado una mentality za kitoto zile za kushindanisha combination.
ngoja ss nikueleze maku ww ,advance level nimesoma EGM, nikapata scholarship nimesoma canada degree ya Economics and Statistics nikapata first class. nimemaliza nikasoma masters ya computer science with focus in Data science, ,nilisomaje masters ya CS nikiwa na background ya Ecconomics, kazi kwako kujua matako ww!!
 
Ujinga huu hizo blaa blaa mimi zinanihusu nin

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakushauri kama unataka data science, usiisome data science, ila itafute kozi nyingine ambayo ndani ina data science ndio usome, sababu data ni kitu kidogo sana, na zipo kwenye kila somo wanawatu wanazianalyze na kuprocess kutumia software mbalimbali. Usipoteze akili yako na pesa kwa kusomea data tu,
Aisee,,,
Bora hata ungekaa kimya
Data ni kitu kidogo eheee....
Ohhh samahani unamaanisha kibongobongo data hazina umuhimu eheee...
Na hizo fesibuku na insta na kadhalika na hii Jf akaunti yako hujui kuwa hizo na hii ni data....
Samahani nitakuwa nimeenda mbali na uelewo wako wa neno data.....
kama hujui dunia ya leo, inaendeshwa na data, iwe data kununua mboga sokoni, kuchungulia simu yako kila saa unavyobonyeza bonyeza, kutumia kadi ya benki , kulogi kwenye mitandao , mzunguko wa pesa, yaani ni ache tu imetosha....
 
wabongo mmekariri sana maisha,aliekwambia kwamba sociologist hawezi kusoma data science ni nani??? ma vyuo yenu ya hovyo hovyo yamewafanya kuwa na upeo mdg sana!

haiwezekani kwenye hayo ma vyuo yenu ya hovyo,nje ni very possible, data science inamatch vizuri tu na kozi za social science!
Braza, hawa hawatakuelewa, kwanza ni aidha ni vitoto vidogo au akili zimefubaa na vumbi....
Elimu yenyewe kama unavyojua ni ya kukariri na ya dunia ya tatu..
Tuvyuo twakipuuzii , vilecturer ni vilevi fulani kutwa vinanuka pombe, na vingine vimetoka nje na kuona dunia lakini ndio hivyo fainali imewakutia kwenye vumbi kwahiyo lazima anakula kichwa na kufurahi kuwa na darasa lake zima limefeli ndio anaonekana yuko makini, haachii kenge wapite kirahisi.....kwahiyo product ya hivi vilecturer ndio hawa zombie gradute .....
Aisee bora nilikimbia hili shimo.....
 
Back
Top Bottom