Sisi tunahusika vipi sasaWote tumepigwa
Ujinga huu ndio ulio mfanya Aslay apotee ndani ya miaka miwili, katoa nyimbo 14 mfululizo zote hits, kama angekuwa anachanganya leo hii angekuwa bado wa moto.
Msanii akitoa nyimbo ya kawaida baada ya kutoa nyimbo kali ana maana yake sio kwamba hana hits songs.
Nyimbo nzuri inafahamika tokea ikiwa studio na kama ukiwasikilizisha watu wako wa karibu watakupa maoni ,labda kama hushirikishi watu.Hawajuagi kuwa hii itakuwa ni hit, wasanii wanatoa nyimbo wakitegemea kuwa zitafanya vizuri hiyo habari ya kusema nimetoa hits sasa ngoja ntoe ngoma ya kawaida hamna kitu kama hicho, binadamu nature yetu ni kuwa greedy kwahiyo mtu akiwa hajatoa ngoma kali sio kaamua kuwa atoe ngoma ya kawaida ujue uwezo ndio umefika hapo