TANZIA Msanii Waziri Ally Kissinger afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Msanii wa Muziki, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala.


IMG_4255.jpg


10480560_821276884582398_3516090117710980720_o.jpg


Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.



3rd wv
 
Duh mbona habari mbaya Sana, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
 
Tanzia: aliyekuwa mwanamuziki na muasisi wa bendi ya njenje bwana waziri Ally amefariki dunia.
Marehemu amefariki dunia leo majira ya jioni katika hospitali ya Mwananyamala alikokuwa akipatiwa matibabu
 
RIP Waziri!! Daima tutamkumbuka Wazee wa Mduara!!! Amefanya makubwa katika muziki wa Tanzania !! Pumzika Baba!!!
Ayubu 1:21
[21]akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
 
Back
Top Bottom