Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

Mie naendeleza tu utani uliouanzisha wewe mkuu.
mimi sitaniii mkuu,kwenye pikipiki siendeshwi na mtu na ninapokua ugenini sehemu..

boda boda hawanijui huwa sipandi kabisa piki piki,natembea au kama sijui niendapo naita tax..
 
Dude)-"Oya oya Kiss-Kiss wewe sister Aunty...

Nini unababaika babaika na msanii,Wasanii bongo..??

Njoo ujivinjari na sisi watu wenye mafedha,Pesa, Mali tutakupa goodtime, debe unaruka, mvinyo utapa vile vile..:

Asali Moyo) -Ee samahani kaka,pesa ni zako na mali ni zako dharau zako huko huko,
Nachohitaji ni Mapenzi ya Kweli,na kama nimekuudhi Sorry kwaheri.


Dude)- Ishia Wewe sholi gani kwanza nishakuthaminisha hulipi wala nini,piga bunda..!

Insepcta)- Tazama Maneno ya Wakosaji Washatoswa wamekuwa wapakaji..!


Aaaa Insepcta utawezaje kumuoa mtoto Classic..!Hahaha nimekumbuka dude Katika Video ya Asali wa Moyo.

ASali Wa Moyo-Insepecta Haroun..

What'saap Babu Much Respect..


Ugua Pole Mr Dude....! Maisha ni kukuru kakara.
 
Mo mwenyew anapandaga bodaboda.uskariri wew...mi mwenyew kuna muda huwa napanda bodaboda
Elewa kilichoandikwa ,"Usafiri wa boda boda ni hatari sana kwa mijini ,msanii mkubwa ameshindwa kuita Ubber"? Issue za MO kupanda Bodaboda elewa kwamba yupo kwa ajili ya kupiga picha na kutangaza biashara yake ,wakati MO anapiga picha Vogue yake ipo pembeni inamsubiri apige picha kwenye bodaboda kisha ashuke aingine kwenye Vogue.
 
Bodaboda haikwepi kwa mjini kama unawahi mahali
Utapanda tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu ila ni hatari sana ,kama ukiwa na Emergency basi shurti umwambie Dereva apite road ambayo haina traffic kubwa.....Kwa mfano upo Magomeni na unataka kwenda Kawe basi hauna budi kupita njia ya Ndungumbi/Magombeni Kota kisha kutokea Tandale then Africa Sana unakuja sayansi then unaingia Chocho la kwenda TCU then Mikocheni unakula chocho la kwa mwinyi unakuja kutokea AAR then unakula Chocho unakuja kutokea Chuo cha TRA then unakula Chocho unakuja kutokea Clouds then Maringo kawe.

Kama magomeni unaenda posta unakula chocho la Makuti then Jangwani unarudi Fire unapita road za upanga ndani ndani unakuja kutokeza Bibi Titi then unakula road la barclays then Uhamiaji - posta.

Kama unaenda Mbagala posta unakula chocho la kati la TTCL unakuja kutokea maji ya Chai then unatelemasha BP then unakula shimo la Udongo then uhasibu then sabasaba unakata kushoto unaenda kuibukia Kijichi then mission mbagala.

CHa msingi kupita barabara yenye low traffic.
 
Back
Top Bottom