TANZIA Msanii wa BongoFlava, Spack afariki dunia

TANZIA Msanii wa BongoFlava, Spack afariki dunia

Dah 😅

Ni wa kitambo enzi hizo game imeshikiliwa na Tip Top Connection na TMK Wanaume Family.

Ngoma ya kwanza maarufu ilikua yeye, Tundaman na Madee ilikua inaitwa Jela nafikiri. Ngoma ikawa kali wakaigombea yeye na Tunda yeye kwa kutaka kuonyesha ngoma ni yake akatoa remix iliyokua inaitwa Tangu Nitoke Jela.

Akatoa ngoma inaitwa Laiti kama. Ila ule ugomvi wa ngoma ya Jela ukafanya Tip Top Connection ambalo lilikua kundi lake kama vile limtenge so baada ya hizo ngoma kadhaa akawa hana sapoti.

Sapoti ikahamishwa kwa Tundaman.
Kumbe
Duh
 
Dah!! Naona kawahi viwanja mbiguni!! "R I P"

Ngoma zake, nipe ripoti, ombi langu na ile aliomshirikisha chid huwa nazikubali kinoma. Ila tangu nitoke jela na haiko sawa huwa zinanigusa mno!!
 
Back
Top Bottom