UKijua past utachokaUtamfahamu vipi wakati umezoea kusikiza tenzi za rohoni 😀
Hii picha INAONYESHA kama kudhohofu..![]()
R.I.P
Waya kama power za tanesco zinasumbua ila grid imeokoa shida za ukosefu wa umemeHii picha INAONYESHA kama kudhohofu..
Umaharufu uleta wanawake wengi hivyo usipo kua makinii duuu
Pumzika legend
Dah 😅UKijua past utachoka
Mungu tu alitutoa huko😀😀
Atakuwa sio wa siku nyingi kwenye game
UKijua past utachoka
Mungu tu alitutoa huko😀😀
Atakuwa sio wa siku nyingi kwenye game
Duh ht simfaham
Wimbo wake wa kwanza unaitwa 'Ombi langu' huu ulimtambulisha kiasi, ukafuata 'Usiniache' aliofanya na chidi benzi huu ulimsogeza mbele sana. Baada ya hapo ikafata nation anthem kwa wakati huo, akishirikiana na 2nda man wakaachia 'nipe ripoti' wakimshirikisha Madee, baadaye alirudi na 'nipe ripoti part 2' lakini haikufanya vizuri sanaDah 😅
Ni wa kitambo enzi hizo game imeshikiliwa na Tip Top Connection na TMK Wanaume Family.
Ngoma ya kwanza maarufu ilikua yeye, Tundaman na Madee ilikua inaitwa Jela nafikiri. Ngoma ikawa kali wakaigombea yeye na Tunda yeye kwa kutaka kuonyesha ngoma ni yake akatoa remix iliyokua inaitwa Tangu Nitoke Jela.
Akatoa ngoma inaitwa Laiti kama. Ila ule ugomvi wa ngoma ya Jela ukafanya Tip Top Connection ambalo lilikua kundi lake kama vile limtenge so baada ya hizo ngoma kadhaa akawa hana sapoti.
Sapoti ikahamishwa kwa Tundaman.
Uko Sahihi mkuuDuniani tunapita kwa Kweli!
NI mwendo wa kuzima ghafla kama mshumaaUKIMWI
Umeeleweka mkuu.Usikute na mimi nna meneja hafu sijui.
Nikifa, SINA MENEJA. ASIJITOKEZE MTU KUSEMA YY MENEJA WANGU.