msanii wa bongo movezz abaka na kulawiti

gwambali

JF-Expert Member
May 10, 2011
230
76
Juzi nimesikia habari kwenye kipindi cha heka heka kinachoongozwa na mtangazaji gea habibu kwamba kuna msanii kabaka na kumlawiti msanii mwenzie ama kweli tutackia mengi mwaka huu na maovu yao,,,mwenye updates kamili atushushie mapicha tumjue plzzzz
 
wewe uliyesikia kwa masikio yakn hujamtaja muhusika unataka updates kutoka kwa nani? ELEZA KI2 KAMILI
 
udaku kama kawaida, sasa umesikia hujapata info za kutosha unakuja kupayuka hapa....argggggghhhh
 
Acheni udaku unauhakika na uyasemayo .... ivi jamani mnamchukuliaje obama na kauli yake ya ndoa za jinsia moja .. mi naona anataka kjfeva shoga nn hata wananch wake wanapnga kutogtambua bwana kwel mtihan jaman!! Npen vwz zenu !! Alafu vp kuhusu kesi ya mtoto lulu inaendeleaje sajuki je
 
naomba kumtetea gwambali,

mimi pia nilisikia kwenye hekaheka

clouds fm ila Gea hakumtaja mbakaji wala

mlawitiwa
 
Acheni udaku unauhakika na uyasemayo .... ivi jamani mnamchukuliaje obama na kauli yake ya ndoa za jinsia moja .. mi naona anataka kjfeva shoga nn hata wananch wake wanapnga kutogtambua bwana kwel mtihan jaman!! Npen vwz zenu !! Alafu vp kuhusu kesi ya mtoto lulu inaendeleaje sajuki je

Co umbeya n habari ya kweli kabisa na hivi leo kapandishwa kizimbani,,,,ameshirikishwa kwenye filamu ya kijiji cha tambua....fanya research na kama umbea wewe ndo unaongoza
 
Acheni udaku unauhakika na uyasemayo .... ivi jamani mnamchukuliaje obama na kauli yake ya ndoa za jinsia moja .. mi naona anataka kjfeva shoga nn hata wananch wake wanapnga kutogtambua bwana kwel mtihan jaman!! Npen vwz zenu !! Alafu vp kuhusu kesi ya mtoto lulu inaendeleaje sajuki je

Sajuki amepona na lulu kaachiwa huru baada ya kuonwa hana hatia
 
Thread za namna hii zina lengo la kuwatafutia watu ban kama utamjibu anavyostahili kujibiwa.
Nilikuwepo.
 
Back
Top Bottom