Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,242
- 1,472
Sina kadi ya Chadema ila harakati zangu ni zaidi ya Mwanachama, hawa wanaoota Ubunge Sugu ndio anawaponza, hawajui tofauti kubwa kati yao na Sugu.
Segerea si jimbo la kujifunzia uongozi, wala hatuna masihara katika hili, ajaribu udiwani katika kata anayoishi.
Si kama wewe ulivyokimbia kwenye sheria baada ya kufulia na ukakimbilia kuuza poda! Ngoja wachina wakukamate tena tuone mshua ataweka pondi nini?
Na wewe wacha kudandia vitu usivyovijuwa, Tabata watu wanamjuwa Joseph Kessy na siyo muhuni unayemsema, CCM mngekuwa na akili kura zenu za rushwa za maoni mngempitisha Joseph Kessy kamati yake ndio walioibadili Tabata.waambie hao wasoijua Segerea,hakuna wa kumtoa Mahanga labda astaafu..Leo Tabata kama ulaya lami kila pande alafu muhuni kama uyo aje na akili zake za bange kuota mchana....
Savimbi wa chama cha magaidi!Hawezi kujiunga na hawa
View attachment 99318
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Na wewe wacha kudandia vitu usivyovijuwa, Tabata watu wanamjuwa Joseph Kessy na siyo muhuni unayemsema, CCM mngekuwa na akili kura zenu za rushwa za maoni mngempitisha Joseph Kessy kamati yake ndio walioibadili Tabata.
Ila mshamba kama wewe uliyekuja mjini na mbio za mwenge hakuna ulijuwalo ni mbumbumbu tu bado una tongotongo. Kituo alichojiandikisha Makongoro nyumbani kwake Segerea unajuwa alipata kura ngapi?
Na uelewe Diwani wa kata anayoishi Makongoro ni wa Chadema. charity begins at home.
Inashangaza sana huyu jamaa kajiunga jana Chadema anataka apewe nafasi ya ubunge, wakati kina Mohamedi Mtoi, kila siku wanatumika lakini hata kiongozi wa kata ajapewa huko Bumbuli.
CC; chama,
MatolaNa wewe wacha kudandia vitu usivyovijuwa, Tabata watu wanamjuwa Joseph Kessy na siyo muhuni unayemsema, CCM mngekuwa na akili kura zenu za rushwa za maoni mngempitisha Joseph Kessy kamati yake ndio walioibadili Tabata.
Ila mshamba kama wewe uliyekuja mjini na mbio za mwenge hakuna ulijuwalo ni mbumbumbu tu bado una tongotongo. Kituo alichojiandikisha Makongoro nyumbani kwake Segerea unajuwa alipata kura ngapi?
Na uelewe Diwani wa kata anayoishi Makongoro ni wa Chadema. charity begins at home.
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.
Savimbi wa chama cha magaidi!
Baada ya kufulia kwenye music wanakimbilia kwenye siasa.