Msanii PETER MSECHU anateka maji na kupika?

Hizo zingine sawa wakuu....lakini hii ya kutengenezana nywele hapo ndo kidogo haijakaa vizuri...hiyo ni kazi ya akina mama tuu. amezidisha sasa hata ile maana na uhalisia wa kusaidiana kazi za nyumbani umepoteza maana
 
Back
Top Bottom