Msanii Nassib Abdul aachiwa kwa dhamana

Msanii Nassib Abdul aachiwa kwa dhamana

Huyo dogo anadharau sana majeshi yetu. Kuna wimbo flani wa Dully Sykes alivaa nguo imeandikwa F*ck Da Police, video ikapigwa ban. Juzi tena kavaa gwanda alafu kaenda kukatia mauno stejini. Raundi hii, inabidi huyu dogo apigwe tu, mana tushachoka.
 
Mtoto wa Jakaya huyo niliwaambia watu hawawezi mfanya lolote
 
Back
Top Bottom